Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Lukuvi Aibuka Kidedea Kura za Maoni Isimani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREZoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kura 453.


Lukuvi – 453

Kiyoyo – 16

Mwilinge – 5

Kidunye – 5

Kalinga – 4

Mfilinge – 4

Kushoka – 0

Chengula – 0

Gange – 0.

Post a Comment

0 Comments