7/25/2020

Makubwa...Mtoto Adai Baba yake Alianza Kumuingilia Kimwili Akiwa na Miaka 4....

Pichani Musa Abubakar,31 ametiwa mbaroni kwa kumuingilia kingono binti yake wa kambo mwenye miaka 9, amekuwa akimuingilia mtoto huyo kwa miaka mitano sasa. Jamaa akiwa mbele ya police wa Nigeria na waandishi amekiri kutenda kosa na kutaja sababu kuwa amekuwa akimuingilia mtoto huyo kila mke wake alipolalamikia kutojisikia vizuri kufanya tendo la ndoa

Mtoto huyo akiwa mbele ya police na waandishi alisema baba'ke huyo wa kambo alianza kumuingiza kidole sehemu zake wakati akiwa na miaka 4, amesema alimueleza mama yake mzazi lakini mama yake aliishia kumpiga kuashiria kumtaka anyamaze ikielezwa mwanamke huyo alikuwa akiilinda ndoa yake isije kuvunjika licha ya mume kumfanyia ukatili mtoto. Mtoto amesema tangu mama'ke alipompiga hakumueleza tena kila alipofanyishwa ngono na baba'ke wa kambo.

Hata hivyo, wakati mtoto akiendelea kuharibiwa, majirani wamegundua na baada ya kumchunguza mtoto wakatoa taarifa police kumnusuru mtoto huyo. Jamaa anasubiri kuchukuliwa hatua za kisheria
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger