Membe Akataa Kufananishwa Na Lowassa "Nachokifanya Kinaitaji Mwanaume Kama Mimi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya nje na mwananchama wa chama cha Mapinduzi (CCM) Bernard Membe amekataa kitendo cha kufananishwa na aliyekwa Waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa kutokana na kitendo chake cha kuhamia upinzani na kugombea urais.

Membe amesema hayo kwenye mahojiano kupitia televisheni mtandao inayoendeshwa na mwandishi mkongwe Jenerali Ulimwengu alipoulizwa juu ya mfanano wa anachokifanya na alichokifanya Lowassa kwenye uchaguzi wa 2015.

“Edward Lowassa hawezi kuwa kufuli la maendeleo ya siasa nchini hatuwezi kujipima kwa kipimo chake,historia ni kujalibu na kujifunza mimi nina mikakati yangu na yeye alikuwa na mikakati yake, ninachokifanya kinahitaji mwanaume kama mimi kutetea haki za wanyonge na hata mazingira ya kipindi kile na hiki ni tofauti”

Ikumbukwe kuwa Bernard Membe amekuwa kihusishwq na kujiunga na vyama kadhaa za siasa ili kugombea urais kwenye uchaguzi ujao jambo ambako lilifanywa na waziri huyo mkuu wa zamani kwenye uchaguzi wa 2015.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad