Mke wa Kigwangalla amzungumzia Mumewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mke wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla, Dkt Bayoum Awadhi, ameeleza ni kwa namna gani huwa ana-miss uwepo wa mume wake nyumbani hii ni kutokana na Dkt Kigwangalla kuwa na majukumu mengi ya kikazi yanayopelekea kutokuwepo nyumbani kwa wakati.


Dkt Bayoum ametoa kauli hiyo wakati akizungumza baada ya kuulizwa ni changamoto gani anayokumbana nayo kuwa na mume ambaye ni kiongozi na anakimbizana na mikiki ya huku na kule na kuongeza kuwa yeye huwa anajitahidi kuliziba pengo la mume wake kwa watoto wao ili na wao wasijisikie wapweke, pindi Baba yao anapokuwa hayupo nyumbani.
"Changamoto ziko nyingi, lakini kubwa ni kum-miss nyumbani tunatamani kuwa naye, sana nawaonea hurumia watoto, 'Sometime i try to fill the gap' ili kuwafanya watoto waone hakuna shida Baba yupo, lakini kadiri siku zinavyozidi nazidi kujifunza na kuzoea namshukuru Mungu ameniwezesha" amesema Mke wa Dkt Kigwangalla
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad