7/16/2020

Msanii wa Bongo Flava RUBY Akataaa Kata Kata Kuongea Uhusiano Wake na Nandy

Msanii wa Bongofleva Ruby Amekataa Kabisa Kulizungumzia Suala Zima la Uhusiano Wake Yeye na Masanii Mwenzake Nandy.

Mara Kadhaa Pia Hapo Hapo Upande wa Pili Ndani Ya Kipindi Cha Wasafi Tv, GigyMoney Na Yeye Alifunguka ya Moyoni Kusema Hampendi Hata Kidogo Nandy Kutokana na Kua na Roho Mbaya, Hayo Yalikua ni Maneno ya GigyMoney.

Kwa Matukio Haya Yanayo Endelea Katika Mitando ya Kijamii Wasanii Wenyewe Kwa Wenyewe Kuto Kupendana, Kutengenezeana Mabifu Mmoja Apande Juu Mwengine Ashuke Chini, Unahisi Watakua Wanajenga Au Wanabomoa?

Tuambie Hapa Tafadhali Maoni Yako Wewe Mpenzi/Mdau wa Muziki wa Bongofleva.!!!!
7h
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger