7/24/2020

Mwaka 1995 aliniambia nigombee mimi, nikamwambia agombee yeye- Jaji Warioba


“Mwaka 1995 Rais Mkapa alikuwa ananiambia mimi nigombee na mimi nikawa namwambia hapana wewe ugombee. Kila mmoja akagombea kila mmoja na mtandao wake, lakini tukasema tutashirikiana. Wakati wa kutafuta wadhamini mtandao wake na wangu ukashirikiana” -Jaji WARIOBA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger