7/29/2020

Mzee Mwinyi Awavunja Mbavu Waombolezaji "Mimi Nimevaa Viatu Mara 2, Nilipokwenda Jandoni na ya Pili Nikiwa na Miaka 13"“Mimi nimevaa viatu mara 2, nilipokwenda jandoni na  ya pili nikiwa na miaka 13 nilichuma karafuu nikapata hela nikanunua viatu na nikataka visiishe badala ya kuvivaa nikavitunza, leo naona wote mmevaa viatu, ndio kazi ya Viongozi ilifanywa na Mkapa na waliofuatia”-MSTAAFU MWINYI
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger