AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mchungaji wa kanisa la Maombezi GRC la jijini Dar es salaam, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, amefunguka kwa kusema kwamba tasnia ya BongoMovie imekufa na haitaweza kuinuka kutokana na wasanii hao kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Amesema hata wakiwekeza tsh bilioni 3 tasnia hiyo haiwezi kuinuka tena mpaka pale watakapopiga magoti na kumuomba Mungu msamaha.
Ametolea mfano marehemu Kanumba aliwahi kuigiza ni mchungaji ambaye anafanya biashara ya dawa za Kulevya kitu ambacho kimemkasirisha Mungu.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK