Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Nuh Mziwanda Amshukia SHILOLE...Kubadili Wanaume Kila Mara ni Kujitia Aibu"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Msanii wa muziki nchini, NuhMziwanda amemueleza aliyekuwa mpenzi wake Shilole, endapo ataachana na Uchebe atakuwa anajitia aibu.

Kauli ya Nuh inakuja mara baada ya hivi karibuni Shilole kuibuka na kueleza kuwa amekuwa akiambulia vipigo katika ndoa yake ambayo kwa sasa ina mitikisiko.

“Shilole kashakuwa mtu mzima aangalie cha kufanya maana kubadili wanaume ni kujitia aibu kila mtu ana mapungufu, aka echini na mumewe wayaongee yaishe,” amesema Nuh kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments