Rais wa Marekani, Donald Trump Amelazimika Kuahirisha Mkutano wa Kumtangaza Rasmi Kuwa Mgombea Urais

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Marekani, Donald Trump amelazimika kuahirisha mkutano wa kumtangaza rasmi kuwa mgombea urais wa chama cha Republican ambao uliokuwa ufanyike Florida, baada ya idadi ya walioambukizwa virusi vya korona kuongezeka.

Akitangaza uamuzi huo, Rais Trump amesema huu si wakati muafaka wa kuwakusanya watu kwenye mkutano mkubwa kama huo, kutokana na hali ilivyo kwa sasa. Tangazo hili la Rais Trump limekuja baada ya kuthibitishwa idadi ya waliombukizwa virusi vya corona nchini humo imepindukia milioni nne
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad