RC Makonda akabidhi miradi ya maendeleo Ubungo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



RC Makonda  jana alikabidhi miradi yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 196.4 katika Jimbo la Kibamba, ikiweno Stand ya Mabasi ya Mikoani ya Mbezi Luis inayogharimu Bilioni 50, upanuzi wa Barabara ya Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa KM 19.2 na gharama ya Bilioni 140.4 , upanuzi wa Mtambo wa Maji Ruvu Juu na ujenzi wa Tank Kibamba wa thamani ya Milioni 624. 

RC Makonda jana alikabidhi pia mradi wa ujenzi wa mabanda saba ya wafanyabiashara Mbezi Luis unaogharimu Bilioni 1.5 na Ujenzi wa Kituo cha Afya Kimara Bilioni 1.5. 

Leo ziara ya RC Makonda inaendelea kwenye Jimbo la Ubungo ambapo anaendelea kukabidhi miradi mbalimbali ya Maendeleo, haya ni matukio mbalimbali ya ziara hiyo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad