AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Matokeo kura za maoni CCM jimbo la Mbeya Mjini, Naibu Spika Dk. Tulia Akson, ameshinda kwa kura 843 katika ya kura 924 zilizopigwa.
Mshindi wa pili ni Dk Mahande Mabula ambaye amepata kura 16 na wa tatu kura 11 ambaye ni Charles Mwakipesile.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK