7/16/2020

Ujumbe wa Idriss Sultan Baada ya Makonda Kuchukua Form ya Ubunge "Nitaulizia Kura 9"


Naomba uende kituo chochote cha kupigia kura karibu yako na uwaambie Idris amesema nije kuna USHINDI wangu hapa.

Nakumbuka wakati nimefanya launch ya viatu vyangu ulibeba pair 10 bila hata malumbano wala nini, lile nililiweka moyoni na nikasema siku ukinihitaji bila hata kuniomba nitatokea na kuweka mkono wangu kwasababu ni deni la moyoni. Naomba niilipe hiyo fadhila kwa kukupigia kura 10 (acha 9 ziharibike ila nitapiga tu).. Ulikuwepo nilipokuhitaji, nipo na wewe sambamba wakati huu kaka. GO WIN ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ @baba_keagan ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ”ฅ  - #regrann  

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger