Wanjara: Nimeitwa Tasa, Mgumba Lakini Nimezaa!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MISS Mara, mwanamitindo na aliyewahi kuwa mpenzi wa zamani wa mwanamuziki Prof Jay, Rashida Wanjara,  amesema anajisikia furaha kuwa mzazi kama wazazi wengine baada ya watu kumsema sana kwamba yeye ni tasa na mgumba kwamba hataweza kupata watoto.



Rashida Wanjara amesema wakati wa Mungu ni wakati sahihi ila ujana na maamuzi ndiyo ulimchelewesha asipate mtoto japo watu walidhani kwamba hataweza kupata mtoto.



Rashida Wanjara amesema; “Wakati wa Mungu ni wakati sahihi, binafsi ujana na maamuzi ndiyo vilinichelewesha kupata, wapo watu walijua kuchelewa kwangu kuzaa kwamba nina matatizo maana nimeitwa Tasa nimeitwa Mgumba, kila mtu alikuwa ananijaji anavyojua yeye ila mwisho wa siku ukweli nilikuwa naujua mimi mwenyewe.”



Aidha Rashida Wanjara ameongeza kusema amepata mtoto wa kiume, jina lake ni Shayan ambalo asili yake ni Uarabuni na maana yake ni mtu tajiri
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad