Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Watanzania Watakiwa Kuepuka Habari Za Uzushi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Watanzania wametakiwa kulisemea mambo mazuri Taifa lao ili kuwa na kidiplomasia nzuri na Mataifa mengine hususani wakati huu ambapo Taifa linaomboleza kifo Hayati Benjamini William Mkapa na kuachana na habari za upotoshaji zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii hasa baada ya ujumbe wa Kenya uliokuwa ushiriki katika maziko ya kitaifa Jijini Dar Es Sala

Post a Comment

0 Comments