7/25/2020

Waziri Mwakyembe Afunguka Kuchelewa Kuanza Kwa Ujenzi wa Arena

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Harison Mwakyembe amesema kwamba mlipuko wa virusi vya corona ndio chanzo cha kuchelewa kwa mchakato wa ujenzi wa Arena (Uwanja mkubwa kwa ajili ya shughuli za Muziki na Sanaa)

Waziri @harrisonmwakyembe amesema kuwa, ujenzi ulikuwa uanze mwaka huu kwani tayari usanifu ulikuwa umefanyika. Amesisitiza kuwa mchakato wa ujenzi wa Arena umeanza upya na kuna wadau kutoka nchini Afrika Kusini wameonesha nia ya kushirikiana na serikali katika ujenzi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger