7/25/2020

Hemedy "Nimeletwa Duniani ili Kufanya Mapenzi"


Msanii wa Bongomovies/Mwanamuziki Hemed Phd, amesema kuwa starehe yake hapa duniani ni Kula, Muziki na Kufanya Mapenzi.

"Mimi starehe yangu kubwa ni kula, muziki na kufanya mapenzi... Kwanza nahisi nimeletwa duniani kuja kufanya mapenzi " Amesema Hemed alipokuwa akifanya mahojiano na kituo Kimoja cha TV.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger