Cardi B amwagia sifa Nicki Minaj

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



RAPA machachari wa kike nchini Marekani, Cardi B, amemwagia sifa hasimu wake kwenye rap, Nicki Minaj kwa kutawala muziki katika kipindi cha miaka 10 iliyopita mfululizo.


Cardi ameueleza mtandao wa Apple Music kuwa katika makuzi yake kulikuwa na rapa wengi wa kike ila walikuja kupotea wote mpaka alipoibuka Nicki Minaj na kutawala kwa muda mrefu.


“Nikiwa na miaka sita hadi nane kulikuwa na rapa wengi wa kike ila wote walipotea, ilikuwa inanilazimu kusikiliza nyimbo za zamani, kwasababu hapakuwa na rapa wa kike lakini alitokea rapa mmoja wa kike ambaye alifanya vizuri na bado anafanya hivyo,” alisema Cardi B

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad