Diplomasia ya Uchumi Kumbeba Magufuli Uchaguzi wa Urais Oktoba 2020Ukiacha jinsi alivyosimamia rasilimali kwa maslahi ya Watanzania namna alivyolikabili janga la COVID-19 hususani dhidi ya sera dhidi ya WHO na baadhi ya mataifa mengine.

Tukija visa na mikasa ya majirani hususani Kenya, JPM ameonesha msimamo usioyumba, hakika ramani ya Tanzania imeng'aa. Hata wafuasi wa CHADEMA waliopo kwenye Jukwaa la Kenya wamebaki midomo wazi wasipate la kubwabwaja.

Itoshe tu kusema Tanzania inahitaji Amiri jeshi Mkuu mwenye hulka ya JPM ili kutuvusha kwenye diplomasia ya uchumi.

Tunamuhitaji Magufuli tena!

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments