8/31/2020

Haji Manara Ampiga Dongo Kali Harmonize "Ogopeni Misifa ya Ovyo"


Ameandika Haji Manara"

"Ndugu zangu ogopeni misifa ya hovyo hovyo, mtakuja kufa bila sababu!!!

Hofu yangu haikuwa kudondoka kama kiroba,..kilichoniogopesha ni hiyo kudunda dunda kama kitenesi,

Caption na hyo video wala havihusiani,nimeajiandikia tu 

Kujitia uanajeshi wakati hata Mgambo hawakujui,kuna siku tutaokota Maiti uwanjani" Haji Manara

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger