5/18/2022

HARUFU ya Asili ya Mwanamke ni Very Romantic Kuliko ya Kujipulizia Pafyumu..!!!!

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipuliziaKwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.

Hii siri nimewamegea usiipuuze izingatie sana.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

2 comments:

  1. NA MIMI HUWA NAKIPENDA SANA KILE KIHARU CHA ASILI. WANAWAKE NAOMBA MBADILIKE.

    ReplyDelete
  2. Kunuka kibeberu tumegoma!acha tuendelee tu kupoteza uhalisia!!!

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger