8/10/2020

MANARA: Simba haiwezi kumuacha Chama tuna malengo naye na bado ana mkataba hadi 2021, Yanga wasiwaongopee watuUjumbe wa Haji Manara kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa Mchezaji wa Simba Chama amejiunga na Yanga, Manara ameandika kuwa:-

“Tetesi za @realclatouschama kwenda Kucheza Utopolo msimu unaokuja ni UPUMBAV, Chama ana mkataba na Machampioni wa nchi hii hadi July 2021, Simba haiwezi kumuuza au kumuachia mchezaji ambae tuna malengo nae, waacheni Mazuzu fc waendelee kujidanganya, najua viongozi wao wanataka kuwaongopea watu wao ili kutoa droo na issue ya Morrison, Chama wao ni yule aliyeenda jana.”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger