8/09/2020

Mange Kimambi Awashukia Jack Wolper na Harmonize Kuweka Mambo yao Hadharani
Ameandika Mange Kimambi  "Kwa hali ya kawaida ingebidi Harmo asemwe ila kwa hapa inabidi tu tumuelewe. Sometimes wanawake tunatafutaga wenyewe kudhalilishwa na wanaume. Don’t bring relationship issues kwa media huku ukijua kabisa ex nae akiamua kuongea atakudhalilisha.

Mfano mdogo wakati naachana na mume wangu, alileta mapicha insta ya mapenzi akiwa na rafiki yangu, nilimsema kidogo yule John Cena wa kike  ila mume wangu nilijifanya kama simuoni, yani sikumchamba wala sikumuongelea, first of all I understood hasira za yeye kuleta picha zile insta ili aniaibishe, nilijua sababu ni nini so wala sikuja kwa media kujifanya victim kusema kanitenda, na wala sikutaka kushindana nae sababu nilikuwa najua fika mzungu alikuwa ananikera makusudi ili nimwage ugali alafu yeye amwage mboga 🤣🤣🤣. Nilijikausha kama simuoni sikumchamba hata kidogo maana I knew mzungu angefungua mdomo kuhusu mimi angenihamisha insta 🤣🤣🤣, angenidhalilisha kisawasawa na ndo alichokuwa anataka kukifanya ila nilihakikisha simpi sababu.

Somo hapa ni kwamba wanawake tuelewe kuwa mwanaume akishakuvua chupi mkiachana usilete issue zenu kwa media, bana matako move on, hata kama amekuumiza roho, jibane matako, funga mdomo maana siku mwanaume akiamua kuongea anaweza kukudhalilisha kama hivi. Not every war is worth fighting, mi na ubishi wangu woooote ila ugomvi wa kwenye social media na mzungu sikuutaka hata kidogo sababu nilijua mimi ndo ntaumia, nikawa mpole tu 🤣😂. 

Mtu mshaachana tena anakusupport biashara zako ila we kila siku unamsema sema vibaya, why?? kuna siku atachoka atakuvua nguo kama hivi.

KUMBUKUMBU: Kipindi kile nachambana na shogangu Wolper kuhusu vigulu vyangu mnakumbuka niliiandikaga hii habari ya Mondi? Yani niliihadisia exactly hivi hivi ila nahisi wengi mlidhani nimetunga tu 😝😝. 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger