Mchezaji wa Kikapu Lebron Akerwa na Kauli za Rais Trump

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nyota wa Timu ya Los Angeles Lakers, Lebron James amesema NBA haitomkumbuka Rais wa nchi hiyo Donald Trump ambaye aliamua kutofuatilia mechi kufuatia wachezaji kupiga goti ikiwa ni ishara ya utetezi wa haki za mtu mweusi.



Trump amewakosoa wachezaji kupiga goti wakati wimbo wa Taifa la Marekani ulipokua ukipigwa .

Lebron ambaye ni mchezaji bora mara nne wa NBA,amesema hafikirii kama jamii ya mpira wa kikapu itahuzunika kutokuwepo kwa Rais huyo.

Nyota huyo alipiga goti na wenzake wa LA Lakers ikiwa ni kabla hawajapoteza mchezo dhidi ya Oklahoma City Thunder ambapo walinyukwa kwa alama 105 kwa 86.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad