8/22/2020

Mrembo Husna Aogopa Kutaja Kazi YakeMUUZA nyago (video vixen) kwenye video za Bongo Fleva, Husna Maulid amefunguka kuwa, ukitaka ujizibie riziki zako, watajie watu unachokifanya.

Husna ameiambia IJUMAA SHOWBIZ kuwa, kikubwa alichokiona maishani mwake ni kwamba akimueleza hata mtu wake wa karibu anachokifanya, basi kila kitu kinasambaratika

“Unajua watu hatupendani hata kidogo; yaani mtu ukimueleza mafanikio yako, basi anatafuta jinsi ya kukumaliza sasa nimejifunza kunyamaza, ni bora waone mafanikio yangu, lakini wasijue ninachofanya,” anasema Husna ambaye hivi karibuni ziliibuka tetesi kuwa anatoka kimapenzi na Diamond Platnumz.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger