8/28/2020

Mzee Yusuf Ataja Siri Wanaotaka Awaoe


MFALME mwenye Taarabu yake Bongo, Mzee Yusuf amesema kuwa kwa sasa hayupo tayari kuoa tena mwanamke mwingine, aliyenaye kwa sasa anamtosha.Akipiga stori mbili tatu na Risasi Vibes, msanii huyo alisema kwamba, kipindi ameacha kuimba, wanawake wengi aliokuwa anataka kuwaoa walimkataa, hivyo na yeye kwa sasa ameghaili kuoa tena.“Kipindi sisikiki nilikuwa nawafuatilia wanawake, lakini wengi wao walinikataa, sasa na mimi sasa hivi nimeghaili sioi tena, mke wangu Leila Rashid anatosha maana nimegundua hawanipendi mimi, ila wanapenda umaarufu wangu,” alisema Mzee Yusuf.

STORI Memorise Richard
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger