8/03/2020

Paul Makonda "Nikija Tena Kwenye Ofisi Hii Nakuja Kama Mwananchi wa Kawaida Napanga Foleni""Mheshimiwa RC nasema kwasababu ndio naaga na sitegemei tena kurudi katika nafasi hii katika ofisi hii, Nikija basi ni mwananchi wa kawaida kupanga foleni pale na kuweza kusikiliza lakini naamini haya yote tunafanya kwasababu mwenyezi Mungu alitupa nafasi ya Uhai" - aliyekuwa RC DSM Paul Makonda akikabidhi ofisi kwa RC mpya Mhe. Aboubakar Kunenge
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger