Paul Makonda Awaomba Msamaha Wananchi wa Dar Es Salaam "Mnisamehe"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Mnisamehe pale nilipoenda kinyume na mapenzi yenu, lakini mkielewa nilifanya kwa mapenzi mema ya kuwatumikia wananchi wa Dar es salaam, Niwahakikishie nina furaha ya kutosha, Nina amani ya kutosha na wala msitishwe na maneno ya watu mara ataishie wapi au ataenda wapi, Mnapaswa kuhumia zaidi siku mkisikia Makonda amemuacha Yesu." - aliyekuwa RC DSM Paul Makonda @baba_keagan akikabidhi ofisi kwa RC mpya Mhe. Aboubakar Kunenge
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad