8/23/2020

Polisi Wazungumza Msafara Wa Lissu KuvamiwaJeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kupitia kwa kamanda wa Polisi Emmanuel Lukula limesema wanawashikilia watu 12 mpka Sasa kufuatia msafara wa Mtia Nia wa urais kupitia chadema mheshimiwa Tundu Lissu Kuvamiwa wiki iliyopita na kundi la vijana


Kamanda amesema vijana hao baada ya kutenda tukio hilo walitawanyika na wengine kukimbili maeneo mbali mbali Kama Arusha,longido na Moshi(Pasua) ambapo baadhi yao ndio wamekamatwa huku akisema kwamba kiongozi wa kikundi hicho wanatafutwa na jeshi hilo

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger