8/27/2020

Rayvanny Afungukia Kuficha Uhusiano Mpya!STAA wa Bongo Fleva na memba wa Lebo kya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, amefunguka sababu ya kuficha uhusiano wake mpya.

Rayvanny ameiambia OVER ZE WEEKEND kuwa, kuweka uhusiano hadharani ni uamuzi wa mtu mwenyewe.


“Hakuna binadamu ambaye anakosa uhusiano, lakini kuweka hadharani au kutokuweka ni uamuzi wa mtu. Ninachojua mpenzi ni wako sasa unavyoweka mtandaoni watu wanaona kila kitu, wapo ambao wataanza kurusha mishale yao, hapo unabaki kujiuliza mpenzi wako atakwepa mishale yote?’’

Anasema Rayvanny ambaye hivi karibuni ameachana na mzazi mwenzake, mwanamitindo na mjasiriamali, Fahyma Msenga ‘Fahyvanny’ aliyezaa naye mtoto mmoja wa kiume aitwaye Jaydanny.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger