8/28/2020

Soma Kisa Hichi Kilichomkuta Huyu Baba Baada ya Simu Kuita Bahati Mbaya Akiwa KanisaniSimu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani ๐Ÿ“ž☎

Mchungaji alimfokea

Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada
Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa kutokuwa makini
Akajisikia vibaya sana, huzuni, na aibu juu

Jioni yake, ili kupoteza mawazo, alikwenda bar

Aliagiza bia, akaiweka mezani. Kwa kuwa alikuwa na mawazo mengi, akaigusa pombe ikamwagika ๐Ÿป๐Ÿบ

Muhudumu alikuja, akampa pole kwa unyenyekevu, na akafuta meza kiustaarabu, kisha akamfuta jamaa ilipommwagikia kiunyenyekevu

Meneja wa bar ile alimpa jamaa bia ya ofa kufidia iliyomwagika ๐Ÿฅ‚๐Ÿฅƒ๐Ÿพ
Muhudumu wa kaunta alipomletea alim'busu akim'bembeleza, "Usijali, hakuna ambaye hana makosa!"

Jamaa hajawahi kukosa 'ibada' ktk bar hiyo tangu siku ile

SOMO:
Unavyowatendea watu kunaweza kujenga au kuwabomoa, hasa wanapokosea
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger