8/18/2020

Tazama Picha za Fatma Abdallah, Mtangazaji wa Wasafi Media aliyeaga Dunia Ghafla

Kundi la Wasafi media  lingali katika majonzi na linajaribu kufahamu kilichosababisha kifo cha mmoja wao mtangazaji  Fatma Abdallah kwa jina maarufu  Kungwi Mkatashombo.


Mtangazi huyo aliaga dunia mwishoni mwa wiki  siku chache tu kabla ya kuandaliwa kwa hafla ambayo alifaa kuwa  muandalizi mkuu ya  AFRICAN WOMEN SUCCESS CONGRESS, EVENT &EXIHIBITION.

Hafla hiyo ilifaa kufanyika Septemba tarehe 5  katika ukumbi wa Solomon.

Kulingana na posti yake ya mwisho katika mitandao ya kijamii warsha hiyo ilifaa kuwafunza wanawake kuhusu ;


  • Njia za kusuluhisha tofauti na mizozo katika maisha yao na mahusiano
  • Kuwapa wanawake fursa ya kukutana na wataalam ambao kwa kawaida hawangepatana nao
  • Kuwasaidia wanawake kuacha tabia na mitindi inayowafanya kufeli katika biashara
  • Kupasana kuhusu fursa zilizopo za kibiashara  miongoni mwa masuala mengine
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger