8/27/2020

Viongozi wa BAVICHA washinda rufaa ya dhamanaKatibu Mkuu wa BAVICHA Taifa, Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji, Twaha Mwaipaya na wengine 7 wameshinda rufaa yao Na. 111/2020 waliyofungua Mahakama Kuu Jijini humo.

Walikata rufaa hiyo kupinga maamuzi ya Mahakama ya Mkoa wa Singida kuwanyima dhamana katika kesi namba 115/2020.

Jaji Latifa Mansour wa Mahakama Kuu ya Dodoma ameelekeza warudishwe Singida kwa ajili ya mchakato wa kupewa dhamana.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger