Aliyekuwa Mfadhili wa Wasanii Ostadh Juma na Musoma afunguka kuhusu kufilisika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Meneja Ostadh Juma na Musoma amefunguka madai ya wasanii kumfilisi hadi kupelekea kuhama Jijini Dar Es Salaam na kuhamia Jijini Tanga, pia amesema asili ya watu wa Musoma wanafanya muziki kama starehe ila sio biashara.


Akizungumza na eNewz ya East Africa Tv Meneja huyo ameeleza kuwa "Wasanii hawajawahi kunifilisi kwanza sanaa ya muziki nilikuwa nafanya kama starehe kwangu na ukiangalia asili ya watu wa Musoma wengi wao wanafanya muziki kwa starehe na sio biashara kwa sababu mimi hakuna pesa ya muziki ambayo nimewahi kula ila nimetumia pesa nyingi kusimamia muziki" 


Aidha Ostadh Juma na Musoma ameongeza kusema sio kwamba amefilisika ndiyo amehamia Tanga bali ameenda kwa ajili ya masomo, pia kabla ya kuja Dar Es Salaam alipitia mkoani humo na ndipo alipopewa jina la Ostadh.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad