Gardner afunguka kwa mara ya kwanza alivyokutana na binti yake ukubwani, sijamkutanisha na Karen

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner amemzungumzia binti yake kwa. mara ya kwanza na kueleza alivyokutana nae ukubwani. Gardner ameeleza kuwa alikutana nae ukubwa ila ni muda kidogo hadi kumuweka wazi watu kumfahamu, ” Sijawakutanisha na Karen bado ila watakutana na kwa upande wangu kila mtoto ana haki sawa hivyo hata mirathi watagawana sawa hakuna upendeleo.


Pia kuhusu Karen ameeleza kuwa haweza kujisikia vibaya kwani imetokea na hivyo anapaswa kukubaliana na kila hali.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad