9/18/2020

JPM 'Mtu akiona taa Barabarani hapa Kigoma asije kusimama akatafuta sifa'


"Mtu akiona taa Barabarani hapa Kigoma asije kusimama akatafuta sifa, sisi ndio tumeweka, hata Chato tumeweka, Mtwara Mikindani na Arusha pia na hatukubagua, Arusha Mbunge CHADEMA tulipeleka, Mtwara Mbunge wa CUF tulipeleka, hapa Kigoma tulileta"-JPM  
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger