9/19/2020

Kituo chetu cha Uwekezaji kimesajili miradi 16 kutoka Burundi na kimetoa ajira kwa zaidi ya Watu 544- JPMBiashara kati ya Tanzania na Burundi zimeanza kuongezeka kwenye Mwaka 2016 Biashara kati ya Nchi hizi mbili ilikuwa Bilioni 115.15 sasa hivi Biashara kati ya Nchi hizi mbili zimeongezeka na kuwa zaidi ya Bilioni 200.1” Rais MAGUFULI

“Kituo chetu cha Uwekezaji kimesajili miradi 16 kutoka Burundi yenye thamani ya USD Milioni 29.42 na imetoa ajira kwa zaidi ya Watu 544, pia tuna taarifa kwamba zaidi ya Makampuni 10 kutoka Tanzania yamewekeza Burundi, baadhi ni Azam LTD, CRDB N.K” Rais MAGUFULI

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger