9/14/2020

Kumekucha Yanga, Zabuni Ujenzi Uwanja KutangazwaKLABU ya soka ya Yanga imesema imekamilisha kazi ya michoro kwenye ujenzi wa uwanja wake wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.Kupitia taarifa iliyotolewa na klabu hiyo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, imeelezwa kuwa hatua inayofuata ni kutangaza zabuni ili kazi ya ujenzi ianze rasmi.Aidha taarifa hiyo imefafanua kuwa ujenzi utafanyika kwa ushirikiano na wadhamini wa klabu hiyo na wana Yanga wote kwa ujumla
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger