9/28/2020

Lady Jay Dee Atoa ya Moyoni Kuhusu Prof Jay "Ni Kaka Pekee Aliyesimama na Mimi"

 


DADAMKUU @jidejaydee Ameendelea Kuonesha Jinsi Gani Anamkubali Msanii Mwenzie @professorjaytz Na Kumtaja Kuwa Ni Moja Kati Ya Watu Wake Wa Karibu Ambaye Alisimama Na Yeye Kwa Nyakati Zote.


Kupitia Ukurasa Wake Wa Twitter JIDE Amepost Video Akiwa Anasikiliza Moja Ya Nyimbo Za Msanii PROFF JAY Na Kisha Kushusha Caption Inayosomeka..

''Jay tunakuzimiaaaaaa

Katika watu ambao nikiulizwa sitofikiria mara mbili kuwa support kwa lolote ni kaka pekee aliesimama na mimi nyakati zote @professorjaytz Love you big bro. Tuko pamoja''

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger