9/30/2020

Lamine Moro aongeza mkataba Yanga SCKlabu ya Yanga SC kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Eng Hersi Said ambaye amekuwa akihusika kufanya usajili wa wachezaji wa Yanga SC, amethibitisha kuwa beki wao wa kimataifa ya Ghana Lamine Moro ameongeza mkataba Yanga SC hadi 2023.

GSM ni sehemu ya wadhamini wa Yanga SC upande wa uuzaji na usambazaji wa jezi (kit Supplier) na wamekuwa wakiisaidia klabu hiyo kufanya usajili wa wachezaji na kulipa mishahara.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger