Mange Kimambi Aibuka na Kumtetea Wema Sepetu Kuhusu Miaka..."Ni Kweli Tulidanganya Umri Wake ili Aweze Kushiriki Miss Tanzania"Mange ambaye ndie alimuibua Wema Sepetu kwenye umisi amefunguka kuhusu umri halisi wa Wema 


"Naona mnamsema sana kuwa anadanganya miaka. Please allow her to celebrate her real birthday, ni kweli she is 30, kwanza I think kaongeza mwaka ili msimsakame sana, akisema 29 mtammeza. In 2006 nilimchukua akiwa na miaka 15 tukamrusha umri ili aweze kuruhusiwa kushiriki miss TZ, kwavile ni mrefu ilikuwa rahisi kuaminika ana miaka 18. Kazi ilipigwa sana kupata documents za kusema ana miaka 18. Baada ya Miss Tz alishindwa kurudi kwenye miaka yake ya ukweli sababu alishasema ana miaka 18 ikabidi aendelee kuishi na miaka ya uwongo na kusheherekea miaka ya uwongo.Nilikuwa namuonea huruma mnooo kila mwaka anavyosherehekea miaka inayomzeesha. Naona sasa kapata courage ya kusema miaka yake ila bado anaogopa hadi kaongeza mwaka. 

.

.

Mimi sio wa kumtetea Wema bado tunamaindiana although alini-unblock angalau🤣🤣 kama niliwaaambia kabla hata hajaanza kupungua kuwa amekata utumbo na atapungua mnooo na baada ya muda alipungua basi leo nawaambia huyu hata miaka 30 hana na pia nawaambia baada ya mwaka mmoja na ushee ataanza kunenepa tena maana utumbo utakuwa umekuwa tena kama mwanzo kwahiyo mliomiss shepu lake subirini mwaka na ushee shepu litaanza kurudi taratibu ila msianze tena kusema shepu la mchina keshatuonyesha kuwa ni shepu natural. Sasa hivi hawezi kuji control kukonda hata mumseme vipi mpaka utumbo urudi size ya zamani. 

.

.

Jaribuni ku-imagine stress ya kusherehekea miaka sio yako kila mwaka, tena miaka ya kukuzeesha, watu wanapunguza miaka alafu we unajiongeza 😭😭. Please allow her to celebrate her real age. Mastaa wa Tanzania karibia wooote ni waongo wa miaka, ni wazeee kasoro Wema Sepetu tu. Hata Misa hatakiwi kumwita Wema big sis maana wamepishana 2 or 3 years only, Wema ni age mate wake. 

.

.

Wema alikuwa form 4 in 2006. Alianza la kwanza at 5 or6 kama watoto wa marekani. Na alirushwa darasa 1, mamake alinieleza alipokuwa anatuambia mwanae ni genius 🤣

.


Pia mwaka 2006 baadhi ya magazeti yaliripoti kuwa Wema hakuwa amefikisha miaka 18 

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE