AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
CCM YATIKISA MKOANI KIGOMA: Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN POMBE MAGUFULI ameendelea kufanya Kampeni ya Kuwania Awamu ya Pili ya Urais huku akipokelewa kwa Shangwe na Umati Mkubwa katika Maeneo ya Biharamulo, Nyakanazi, Kakonko, na Kasulu. Mgombea Huyo Ambaye takwimu huru zinaonesha atashinda kwa zaidi ya asilimia 85 ameshamaliza mikoa zaidi ya Kumi hadi Sasa katika kampeni inayoonekana kuwa yakisayansi na yenye mafanikio kwa Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania @MagufuliJP
#VitendoVinaSauti
#T2020JPM✅
#Magufuli5Tena
#ChaguaMaendeleo
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK