Mrema Ampigia DEBE Magufuli....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwenyekiti wa chama cha TLP,  Agustine Mrema, amesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kumwombea kura mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli, ili  ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, mwaka huu.
Mrema ambaye pia anagombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia chama chake, amesema baada ya kujipima na kutafakari kwa kina yeye na chama chake waliona ni bora kuunganisha nguvu ili ushindi wa Dk. Magufuli uwepo na yeye abaki kwenye ubunge.

Amebainisha kuwa,  vyama vya upinzani vinamwona kama kachanganyikiwa ila wao ndiyo waliocjjhanganyikiwa, kwani kila chama kimemsimamisha mgombea urais ila hakuna anayeweza kushindana naye hata robo, kwa makubwa aliyoyafanya kwa kipindi cha muda mfupi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad