10/08/2020

Najiuliza Kwanini Wanaume Mahandsome Hawana Hela?

 


Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu Pisi kali za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.


Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger