Piere Liquid Afumbwa na PISI Kali Sana...Mwenyewe Ajitetea...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kamera za EATV & EA Radio Digital zimemfuma Mchekeshaji na mwanamitandao Piere Likwidi akiwa na Pisi moja wanapiga stori maeneo ya Sinza kisha kuita Uba na kuondoka zake.

Kwa mujibu wa Piere Likwidi mwenyewe amesema Pisi hiyo ni rafiki yake wala sio mpenzi wake kama watu walivyodhani baada ya kumuona naye.

"Huyu ni rafiki yangu kweli itabidi muamini hivyo, maana sio kila mtu mnayeniona naye kwamba ni moja, mbili au tatu hapa tunapiga stori tu" amesema Piere Likwidi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad