9/22/2020

Shilole na huyu kijana watawezana kweli

 


Moja ya stori ambayo inatrend kwa sasa kutoka kwenye Jamhuri ya watu wa mitandaoni inadai kuwa msanii na mfanyabiashara Shilole ni kuwa kwenye mahusiano na mpiga picha wake Rommy.

  

Stori hizo zinaeleza kuwa kwa sasa jamaa ndiyo amerithi nafasi ya aliyekuwa mume wake bwana Uchebe ambapo  picha ya kwanza ya wawili hao walishea kwenye mtandao wa Instagram ikiwaonyesha wakiwa wote siku ya Septemba 13, nyingine alipost siku ya juzi kisha kuzifuta.


Sasa hizi hapa ni baadhi ya Comments za mashabiki na watu waliotoa maoni yao kuhusu picha hiyo na tetesi za wawili hao kuwa kwenye mahusiano.


"Sema comments za watanzania ni Tamu zaidi ya wali maharage" - Martin Kadinda 


"Dada yangu tafuta saizi yako hao watakusumbua" - Mkenya 47


"Duuh mmependeza kweri lakini sio muwe mke na mume" - George Magumbo 


"Shemeji yetu mpya" - Jimmy Father


"Mwambie dogo aendelee kula cake ya taifa sisi tutatoa vyombo"


"Uchebe alikurushia maspana sasa huyu atakurushia camera kama utabaki na macho" - Abubakari Zuberi


"Ndiyo amechukua nafasi ya bondia nini maana ndivyo mnavyoanzaga hivyo" - Mecky Jonh

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger