9/08/2020

Shilole: Ndoa Siyo Jela


MWANAMUZIKI na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ikiwa ni miezi michache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, ndoa siyo jela, kama kitu ukishindwa, unaondoka tu.Akipiga stori na Risasi, Shilole amesema kuwa, ndoa nyingi zinapitia migogoro si kwake tu, hata mtu akishindwa anaenda tu.“Unajua mambo ambayo nimepitia si mimi tu, ni ndoa nyingi zinapitia haya mambo ya migogoro, hivyo usione kitu cha ajabu, kama ukiona mambo magumu, unaondoka tu maana ndoa siyo jela,’’ alisema Shilole.

STORI: HAPPYNESS MASUNGA, RISASI
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger