9/03/2020

Tanzia: Mtangazaji wa ITV Agnes Almas Afariki DuniaMWANDISHI wa habari na mtangazaji wa kituo cha televisheni cha ITV, Agnes Almas,  amefariki dunia ghafla mchana wa leo Alhamisi, Septemba 3, 2020, akiwa njiani kupelekwa katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya kujisikia vibaya alipokuwa nyumbani kwake akijiaandaa kwenda kazini.

Radio One na ITV Tanzania wamethibitisha kutokea kwa msiba huo kupitia akaunti zao za mitandao ya kijamii.


#TANZIA: Tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Agnes Almas @ITVTANZANIA. R.I.P AGNES ALMASY.” wameandika ITV kupitia akaunti yao ya Twitter.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger