10/14/2020

Rais Magufuli "Jimbo la KAWE Liko Lamekaa Kama Utumwani..Mmedanganywa vya Kutosha"


 "Jimbo la Kawe limekaa kama utumwani lina shida sana, watu wanateseka na kuna baadhi ya maeneo umeme ni tatizo, ninaomba mfanye mabadiliko ya makusudi mmedanganywa vya kutosha, @ChademaTz nawapenda hata mkitaka nitoe alama hii hapa" Rais MAGUFULI Akiwa Kawe DSM

 

"Naomba mniletee Gwajima najua amepigwa vita mno, ndiyo maana hata ameshindwa kurefuka lakini ni kwa sababu ya ukweli wake, Mwembe wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe na watoto, naomba na mimi mnichague niwe Rais wenu" Rais MAGUFULI Akiwa Kawe DSM

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger