10/19/2020

Good news kama umepoteza kitambulisho cha mpiga kura unaweza tumia hivi

 


Zikiwa zimesalia siku nane kufikia October 28, 2020 siku ya kupiga kura, nakupa good news kwamba kama utakuwa hauna kitambulisho cha kupigia kura na ulijiandikisha kupiga kura basi unaweza kutumia Kitambulisho cha Taifa, Passport, au Leseni ya udereva kupigia kura katika kituo ulichojiandikisha.


Taarifa hiyo imetolewa na Tume ya Uchaguzi kupitia ukurasa wao wa twitter na mpiga kura inatakiwa jina alilojiandikisha nalo kupigia kura lifanane na lililopo kwenye Passport, Leseni, au Kitambulisho cha NIDA.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger